Wednesday, February 25, 2015

New member in the village! Kijiji cha SOS Dar es salaam chamkaribisha Christiano

 Christiano  
 Baba na Mwana ( Mkurugenzi wa kijiji cha Dar es salaam  - (Anglowisye Ntalima) akiwa amembeba mtoto Cristiano mara baada ya kuwasili kijijini hapo siku ya jumatatu ya tarehe 6/10/2014

 Mtoto Cristiano akiwa amebebwa na dada yake wa SOS - Happiness



 Family affair! Baba akiwa na Aunt Asha Mkina - Mama mpya wa Cristiano 

A HUG from Aunt Jennifer ...

Afisa Ustawi wa Jamii wa Katavi akimkabidhi mtoto kwa baba na mama  mara baada ya kuwasili kwenye makazi ya SOS Dar es salaam

No comments:

Post a Comment