Wednesday, February 25, 2015

Jamii ya Waganda waishio Dar es salaam walipotembelea kijiji chetu

Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS   Dar es salaam   wakati huo Dr. Alex Lengeju akiwakaribisha rasmi wageni kwenye chumba cha Mikutano 
Hapa wageni na baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi wa Kijiji Dr Alex Lengeju
 
Wageni walipata fursa ya kuchat na watoto
 
 Wageni wetu waliamua kujipima nguvu na timu ya watoto wa kijiji
 
 Wazazi na wachezaji katika picha ya pamoja
 
 People in action ........
 
 Star of the day ......
 
Watoto wakipozi na  Nyota wa mchezo (Big brother Ibra .....) wa mchezo huo
 
Children having some fun with one of superstar (Midfild John......) from SOS team

2 comments:

  1. I need to vissit.na lengo Ni Kula nao ftar katka mwezi hu mtukufu WA ramadhani

    ReplyDelete
  2. Na nitaomba nafasi iyo tutakuwa vijana mashabiki WA kikundi cha mwanamziki diamond tujulikanao kama wcb fans..iwe June 2 2019,,,ramadhani ya 27,,asante

    ReplyDelete